Thursday, June 25, 2015

"Huu ni Umasikini wa Akili" - Roma

"WATANZANIA WAKIAMBIWA WAMEONGEZEWA #MSHAHARA
WANASHANGILIA SAAAANAAA!!
BILA KUJUA KUWA GHARAMA ZA MAISHA ZIMEPANDA PIA!!!



Mtumishi aliyekuwa analipwa laki 5 kwa mwezi!! Sasa akaambiwa analipwa Laki 7 kwa mwezi atafurahia!! Bila kujua Gharama za Maisha zimepanda kwa kasi zaidi ya ongezeko la Mshahara wake!!! Ni heri MSHAHARA uwe laki 5 ile ile kisha uwe unauziwa gunia la Mkaa kwa Tsh. 3000/= hadi 5000/=.
Kuliko Mshahara wakuambie wameupandisha hadi Laki 7 Halafu Gunia la Mkaa liuzwe kwa elfu 35!!!
#HUU_NI......???????
(malizia kwa neno lolote apo☝☝☝) Mwaka #2005 Embe lilikuwa likiuzwa Buguruni kwa Tsh. 50/=
Leo linauzwa kwa Tsh. 500/= mpaka 1000/=. Yaani limepanda kwa Mara 20 zaidi!! So ukitaka kujua bei ya Embe kwa miaka 10 ijayo...chukua bei ya sasa 1000 Zidisha mara 20!! ni 20000/=
So mwaka 2025 tutanunua embe kwa Tsh.20000/=!! Hapa itabidi tuwe na noti ya #Laki_MBILI �������� So ukitaka kununua embe 10 inabidi uende na Laki mbili ��������!!
Sasa wale wanaonunua kwa #Fuso itabidi waende na #Mamilioni kununua
Maembe!!! kwa fuso moja tu (Zimbabwe flaani ivii��) Nyama iliyokuwa inauzwa kilo 1 Tsh.1000/= Sasa hivi ni Tsh. 5000 hadi 6000/= Nauli ya daladala ilikuwa sh.100/= sasa hivi Tsh.400/= Mchele kilo ulikuwa Tsh. 350/= Sasa hivi 1500/= hadi 2000/= Cement iliuzwa 4000/= hadi 5000/=
sasa hivi 15000/= hadi 20000/= Tukiendelea hivi hivi kila siku tutalalamika mishahara haitoshi, na hata tukilipwa Milioni 50 kwa mwezi kama bado #Mfumuko_wa_bei utabakia hivi hivi!!! Basi tutajikuta kila siku Mshahara unaishia kumlipa
#MANGI madeni yake!!! #CHAGUA_KIONGOZI_ATAKAYEWEZA_KUIBADILISHA_HII_HALI

#Lets_change_it
#Make_ur_own_revolution
#Make_a_good_choice_of_ur_leader
#Avoid_corruption

#WHO_IS_MY_NEXT_PRESIDENT???"
Hayo ni maneno ya Rapper Roma ambapo amefunguka asubuhi hii.



#chafujoblog



No comments:

Post a Comment