Empire ni moja ya Series ambayo inatafatiliwa na watu wengi Duniani, Msimu wa kwanza uliisha mapema mwaka huu, Msimu unaofuata unatarajiwa kuanza mapema mwezi wa tisa.
Kuna mastaa wengi ambao wamethibitishwa kuongezwa kwenye Serios hii ili kuongeza hamu ya watazamaji kuendelea kuitazama Series hii.
Alieongezwa katika Series hii ni star wa Comedy ajulikanae kama Chris Rock.
Picha zimethibitisha kwamba Chris Rock ataonekana kwenye msimu wa pili wa “Empire”. Ameoenkana na Terrence Howard, amabe anacheza kama Lucious Lyon, picha hizo zimeonekana kwenye Instagram, Lyon alikamatwa na kosa la mauaji mwishoni mwa msimu uliopita na kwenye picha, Rock anaonekana wamekutana akiwa jela
Msimu wa pili kwa mara ya kwanza utaonyeshwa kupitia FOX mwezi Septemba tarehe 23, Mastaa wengine ambao wataonekana kwenye Empire msimu ujao ni pamoja na Alicia Keys, Lenny Kravitz na Zac Efron.
Oprah Winfrey kumekuwa na uvumi naye atahusika lakini bado haijathibitishwa, Usikose kuangalia Empire cast performing kwenye BET Awards 2915 ambayo itafanyika Juni 28 saa 2 usiku kwa muda wa Marekani kwa huku kwetu itakuwa saa 9 usiku.

#chafujo
No comments:
Post a Comment