Tv's za nje zimekuwa zikilipa vizuri sana video za wasanii zinapopigwa katika katika tv zao, Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao wamefaidika kutokana na video yake kupigwa mara 4 tu na kulipwa kiasi cha shilingi milioni 46 za kitanzania.
Akizungumza katika kipindi cha Amplifaya Babu Tale amesema "BET walipiga nyimbo ya Diamond only four days tukalipwa milioni 46 kwa sababa nyimbo yake imeonekana kwenye Tv lakini walituonyesha kabisa hii hela inaenda kwa huyu na kwa huyu, kwa producer, kwa director kwa editor , ya msanii kama zote zile zingekuwa zinaenda kwa wenyewe ya msanii ilikuwa milioni 19 kitu kama iko na hatukuwa tumeamini unajua watoto wa kiswahili huwezi ukaamini, mi nimetumiwa email nikamwambia Diamond wasije kuwa matapeli waliokuhack wale, eti wanasema kuna hela yetu tufanye process watuwekee kwenye account, kuchunguza vizuri wakatuma na file la ngoma imepigwa mara ngapi, media za wenzetu zinalipa vizuri".
"Insurance is split up into different kinds or lines of business. RSA is focused solely on property and casualty (P and C) insurance. P and C insurance includes automobile, property, commercial/business and travel insurance. You can purchase P and C insurance through a broker or directly from Johnson Inc. We also offer pet insurance through Pets Plus Us."
#chafujo
No comments:
Post a Comment