MTV AFRICA wamethibitisha uwepo wa msanii wa marekani maarufu kama Neyo katika usiku wa utoaji tuzo ambazo zitafanyika tarehe 18 mwezi ujao.
Leo katika mtaandao ya Twitter MTV wamean:
"What ya'll think of a@diamondplatnumz &@NeYoCompound collabo at#MTVMAMA2015? Could be epic, right@MTVbaseAfrica?! "
Diamond Pia kapost katika account yake akionyesha furaha yake kuhusu hili! Diamond kaandika:
"What do you guys think????
No comments:
Post a Comment