Thursday, June 25, 2015

Picha:Ali Kiba aendeleza Tour yake ya kuzunguka na Daladala hii leo

Ally kiba aanzisha king kiba tour kama kutoa shukrani kwa mashabiki wake waliofanikisha yeye kujipatia tuzo tano za KTMA...
Kiba alipata nafasi ya kukaa na mashabiki wake pamoja na kupiga nao story mbili tatu. 









Photo credits: Global Publishers tz



No comments:

Post a Comment