Saturday, June 27, 2015

Wema Asema Hawezi Kumsapoti Diamond Platnumz MTV

Wema sepetu aliwahi kuwa mpenzi wa Diamond
Platnumz, japo mapenzi yao yaliota mbawa baada
ya Visa vingi lakini hata hivyo mpaka sasa
haijajulikana chanzo rasmi cha Diamond na Wema
Kuachana kawa sababu kila mtu anasema yake.

Akiongea katika kipindi chake cha In My Shoes
kinachoruka EATV, Wema Sepetu amesema
hawezi kumsapoti Diamond Platnumz katika Tuzo
za MTV ambazo Diamond anawania Vipengele
vitatu ambavyo ni Best Live, Best Male na Best
Collaboration, Wema amesema hawezi kusapoti
Diamond kwa sababu Diamond hajamwomba
afanye hivyo, laiti Diamond akimwomba sapoti
atamsapoti.

No comments:

Post a Comment