Watu wanaodhaniwa kuwa Majambazi wamevamia Benki ya NMB Tawi la Mkuranga, Pwani na kufanikiwa kupora Fedha kisha kumuua Askari Mmoja.
Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani Japhary Mohammed ameuthibitishia Chafujo Blog kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa sasa yupo njiani kuelekea kwenye Eneo la tukio
"Taarifa hizo nimezipata kuwa Watu wanaodhaniwa kuwa Majambazi kuvamia Benki ya NMB na kupora kiasi hicho cha fedha ambacho mpaka sasa hakijafahamika kisha kumuua askari mmoja aliekua doria nje kidogo ya uzio wa benki.
Kwa sasa nipo njiani kuelekea eneo la tukio kupata taarifa zaidi" Alisema Kamanda huyo. Tutaendelea kukujuza zaidi yatakayojiri huko
#chafujoblog

No comments:
Post a Comment