Tuesday, July 14, 2015

Babu Tale: BET walipiga nyimbo ya Diamond mara 4 tukalipwa milioni 46.


Tv's za nje zimekuwa zikilipa vizuri sana video za wasanii zinapopigwa katika katika tv zao, Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao wamefaidika kutokana na video yake kupigwa mara 4 tu na kulipwa kiasi cha shilingi milioni 46 za kitanzania.

















Akizungumza katika kipindi cha Amplifaya Babu Tale amesema "BET walipiga nyimbo ya Diamond only four days tukalipwa milioni 46 kwa sababa nyimbo yake imeonekana kwenye Tv lakini walituonyesha kabisa hii hela inaenda kwa huyu na kwa huyu, kwa producer, kwa director kwa editor , ya msanii kama zote zile zingekuwa zinaenda kwa wenyewe ya msanii ilikuwa milioni 19 kitu kama iko na hatukuwa tumeamini unajua watoto wa kiswahili huwezi ukaamini, mi nimetumiwa email nikamwambia Diamond wasije kuwa matapeli waliokuhack wale, eti wanasema kuna hela yetu tufanye process watuwekee kwenye account, kuchunguza vizuri wakatuma na file la ngoma imepigwa mara ngapi, media za wenzetu zinalipa vizuri".

"Insurance is split up into different kinds or lines of business. RSA is focused solely on property and casualty (P and C) insurance. P and C insurance includes automobile, property, commercial/business and travel insurance. You can purchase P and C insurance through a broker or directly from Johnson Inc. We also offer pet insurance through Pets Plus Us."

#chafujo

Sunday, June 28, 2015

Leo Zari ameshindwa kuvumilia, imebidi ayaandike haya tena mengine kwa Kiswahili.

Zari 2






Shemeji yetu Zari ambaye ni mrembo kutoka Uganda ambaye toka amekua mapenzini na Mtanzania staa wa bongofleva Diamond amekua akipokea comments tofautitofauti kwenye page yake ya Instagram, June 28 2015 ameamua kuyaandika haya tena mengine kwa kutumia lugha ya kiswahili baada ya kushindwa kuvumilia.

Waliomkasirisha ni wale wanaokosoa uvaaji wake na kuendelea kumfatilia ambapo alianza kwa kuandika >>>’Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, nayako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo….oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress????







Ameendelea kwa kuandika mengine kwa kiingereza na nitatafsiri kwa wino mwekundu>>> ‘HAYA NI MAISHA YANGU na sasa your all Gods’ judges now…. how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? (ni watu wangapi tunawajua wanavaa Hijab lakini mioyo yao sio misafini wangapi wenu mnaigiza kuwa wasafi kwenye hizi siku 30 lakini miezi 11 iliyobaki ni waovu? )How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months your the worst monsters this world has ever seen’
zari






Kwenye sentensi nyingine kaandika >>> ‘Now u wana come here and judge my faith by the dress???? (sasa mnakuja kujudge imani yangu kutokana na nguo? Allah bless all of you….atleast I ain’t acting snitchy, am being ME. And oh🙋, if you happen not to like what you see in ur news feed (my page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirerdah majirani Habari nakazi mnayo……like I always say, no bad vibes from me. So stay blessed

Saturday, June 27, 2015

BEYONCE KUSHIKA MIMBA SOON!















New York, Marekani
DIVA wa muziki wa Pop, Beyonce Knowles huenda akashika mimba hivi karibuni baada ya kuweka wazi kuwa yupo mbioni kupata mtoto wa pili na mumewe ambaye pia ni mwanamuziki wa Hip Hop, Shawn Carter ‘Jay-Z’.












Kwa mujibu wa Jarida la In Touch linaweka wazi kuwa Beyonce (33) ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Blue Ivy (3), kwa miezi kadhaa yupo katika kutafuta mtoto mwingine lakini anachohofia ni malezi juu ya mtoto huyo ajaye.
“Kwa miezi miwili sasa anamtafuta mwanamke sahihi wa kuweza kumlea mtoto wake ajaye. Tayari wapo katika hatua za mwanzo na mumewe za kutafuta mtoto,” liliandika jarida hilo.
#chafujo

WEMA KUBADILI WANAUME CHANZO NI HIKI

Wema na Jumbe













IMEBAINIKA! Kufuatia tabia yake ya kubadili wanaume, mrembo asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Isaac Sepetu imefahamika kuwa chanzo cha yote ni kusumbuliwa na ugonjwa ujulikanao kitaalamu kwa jina la Sex Maniac.
















Akizungumza na Chafujo blog, mtaalam wa masuala ya utabiri na nyota, Maalim Hassan Yahya alisema kwamba suala la Wema kubadili wanaume kila mara si kulogwa bali anasumbuliwa na ugonjwa huo ambao mtu akiwa nao kila wakati anawaza mapenzi na raha yake ni kufanya tendo la ndoa



Wema na Bob Junior

















Wema aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume tofauti akiwemo, Herry Samir ‘Mr. Blue’, Khaleed Mohamed ‘TID’, marehemu Steven Kanumba, Yusuf Jumbe, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, CK na Nagari Kombo.
Jitihada za kumpata Wema ili kuzungumzia hali hiyo ziligonga mwamba baada ya simu yake kutokuwa hewani na kukosekana nyumbani kwake hivyo jitihada zinaendelea.

#chafujo

Wema Asema Hawezi Kumsapoti Diamond Platnumz MTV

Wema sepetu aliwahi kuwa mpenzi wa Diamond
Platnumz, japo mapenzi yao yaliota mbawa baada
ya Visa vingi lakini hata hivyo mpaka sasa
haijajulikana chanzo rasmi cha Diamond na Wema
Kuachana kawa sababu kila mtu anasema yake.

Akiongea katika kipindi chake cha In My Shoes
kinachoruka EATV, Wema Sepetu amesema
hawezi kumsapoti Diamond Platnumz katika Tuzo
za MTV ambazo Diamond anawania Vipengele
vitatu ambavyo ni Best Live, Best Male na Best
Collaboration, Wema amesema hawezi kusapoti
Diamond kwa sababu Diamond hajamwomba
afanye hivyo, laiti Diamond akimwomba sapoti
atamsapoti.

Friday, June 26, 2015

MAJAMBAZI YAUA ASKARI NA KUPORA FEDHA BENKI YA NMB, MKURANGA

Watu wanaodhaniwa kuwa Majambazi wamevamia Benki ya NMB Tawi la Mkuranga, Pwani na kufanikiwa kupora Fedha kisha kumuua Askari Mmoja.
Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani Japhary Mohammed ameuthibitishia Chafujo Blog kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa sasa yupo njiani kuelekea kwenye Eneo la tukio
 "Taarifa hizo nimezipata kuwa Watu wanaodhaniwa kuwa Majambazi kuvamia Benki ya NMB na kupora kiasi hicho cha fedha ambacho mpaka sasa hakijafahamika kisha kumuua askari mmoja aliekua doria nje kidogo ya uzio wa benki.
Kwa sasa nipo njiani kuelekea eneo la tukio kupata taarifa zaidi" Alisema Kamanda huyo. Tutaendelea kukujuza zaidi yatakayojiri huko
#chafujoblog

Tunda Man Katika Mipango ya Kuacha Bongo Fleva na kuimba Dini Tu.

Tunda Man ana mpango wa kuacha Bongo Fleva na kuingia Rasmi katika Kuimba Muziki wa Dili ya Kiislam maarufu kama Qaswida.

Akiongea katika kipindi cha XXL 255 ya Clouds Fm Tuna Man amesema atamalizia muziki wake katika kuimba muziki wa Dini. Tunda Man amesema "idea ya kufanya qaswida ilikuwa katika plan yangu na ninafikiria muziki wangu unaweza kuishia huko, muziki wangu utaishia katika kuimba nyimbo za dini tu, yan itafikia huko yan, kwa hiyo naanza kabisa kufanya hizi ngoma kwa sababu baadae inaweza kunirahisishia kwa sababu muziki wangu natamani uweze kuishia kwenye kuimba Qaswida katika kumsifia Mwenyezi Mungu na Mitume wake, itakuwa ndo hivyo yan ntakuwa siimbi sana Dunia nafkiri ni mwanzo mzuri kila baada ya mwezi wa ramadhani nafanya hivyo halafu baadae ntakuja kila baada ya mwezi wa shaaban ntakuwa nafanya sana Qaswida, hivyohivyo baadae ntaenda straight kwa Mungu ambapo sitaimba tena nyimbo za Dunia".
#chafujo